KITANZI CHA DHAHABU SEHEMU YA KWANZA (1)
Add caption KITANZICHA DHAHABU Hallo baby leo ni weekend! vipi s'utanipeleka pale pa siku ile? Aaah! Hapana baby! Kwanini sasa jamani? ni mda Mlefu sana toka ulivonipeleka Siku Ile alafu nimemiss sana Alafu s'unasjua macho yakisha ona pazuli hua yanatamani kubaki Kule kule lakini? Usinnifanyie ivo bhana! Ok nimekuelewa mpenzi wangu but, kwa siku ya leo nilimuahida mother kua nashinda nae kutwa nzima. kwa sabababu ya kutokua karibu nae kwa kipindi kilefu kutokana na purukushani za kazi na mambo mengine ya hapa na pale. kwa hio naona itakua ngumu kidogo. Aaaah! hapo nimekuelewa but, nitakuja basi tushiriki lunch ...