KITANZI CHA DHAHABU SEHEMU YA KWANZA (1)

Add caption
                                       KITANZICHA DHAHABU 
Hallo baby leo ni weekend!                   vipi s'utanipeleka pale pa siku ile? Aaah! Hapana baby!
Kwanini sasa jamani? ni mda Mlefu sana toka ulivonipeleka  Siku Ile alafu nimemiss  sana     Alafu s'unasjua macho yakisha ona pazuli hua yanatamani kubaki Kule kule lakini? Usinnifanyie ivo bhana!


 
Ok nimekuelewa mpenzi wangu but, kwa siku ya leo nilimuahida mother kua nashinda nae kutwa nzima. kwa sabababu ya kutokua karibu nae kwa kipindi kilefu kutokana na purukushani za kazi na mambo mengine ya hapa na pale. kwa hio naona itakua ngumu kidogo.
Aaaah! hapo nimekuelewa but, nitakuja basi tushiriki lunch kwa pamoja.
Kuhusu ilo wala usiwe na wasiwasi na leo nipo jikoni mwenyewe nampikia mama yangu leo, on the other hand kuhusu ujio wako, itabidi nimpe tarifa kwanza and then nitakupa majibu maana siku ya leo ni teule kwa ajili yake2
Ok poa.

Hooodi!
Kariiibu!
Ahsanteee!
Wawo! Umekuja na zawadi niipendayo sana! umejuaje?
Hahahahaaa! ukipencho siku zote hunikaa rohoni, hata kama sijaambiwa.
Dhu! umetisha! leta nikupokee!
Haya shika vizuli
Mimi tena! karibu ukae. Me ngoja nikamu surprise bi mkubwa uko jikonieh!
Poa ila usije ukamdondosha mama wa watu uko mambo yakawa mengine!
Ha! mwanangu mara hii umetoka sokoni kununua tikiti au feni sebuleni siku izi inadondosha matikiti?
AaaaH! mama acha mambo yako zawadi hii kaleta mkweo!
Haaah! mara hii Jennifer ameshatoka safari? He! ngoja nokamuone kwanza mkwe wangu nimemumiss! JENIiiiii!!!!
Iiiiih! mama usiite Jennifer!
He! kwanini sasa?
kwani kaja kwa jili ya aki na nani?
Mama mala hii umesahau?
Aaaah! nimeshajua A! kumbe yule nani wako! nana yule! ivi uliniambiaga anaitwa nani vile nilisha sahau mie.
Huyu ni mchumba wangu anaitwa Adrianna!
E! wewe ebu rudia umesema nani yako vile au masikio yangu?
Mama huyu ni mpenzi wangu anaitwa Adrianna!
Wewe wakati mwingine uwe unaangalia maneno ya kuyatamka mbele yangu mimi ka mama yako. Huyo sio mchumba wako nimujuae mimi!
Mama ongea taratibu asije akasikia tafadhali nakuomba mama yangu"
Toka apa niongee taratibu kitugani wewe unachokitafuta utakipata nakwambia. shauri yako.


Aaaah! karibu sana nyumbani kwetu Adrianna naaa jisikie kama uko nyumbani kwako, OK! eeeh kidoko kuna mambo turikua tunaelekezana na mama jikoni na ndio maana tumekaa mda mrefu. kwa hio usifikiri kwamba tumekutelekeza peke yako.
naaa kama nilivyokwambia leo ata mfanya kazi kapewa likizo ili mimi na mama yangu yote ya jikoni tuyamalize wenyewe.
Onda wasiwasi jui yangu Claud sijawa na upwekee hata kidogo.
kweli?
Ndio! Hahaha!
Aaaah! karibu mkwe! Habari yako? hujambo mama?
Sijambo! Shikamoo!
Malhabaa! Nyumbani wazima!
Ng'u Ng'u Ng'u Nyumbani wazima? wakinanani sasa Jamani? au mwanae hajampa tarifa nini?
Aaaah! wote wazima mama yangu!
Eh Mungu wangu naomba asije akamuuliza maswali kuhusu wazazi wake"
Andrew! mbona unachelewa kunijibu au nyumbani kuna mgonjwa? usinifiche mwanangu! kama mama au baba kati yao kuna mgonjwa unanieleza maana mimi ni mama yako upande wa pili.
Ha! mama umevuka mipaka sasa! Ebu ishia hapo ulipofikia!
Ha! mwanangu mbona unalia tena?!!! kulikoni
Adi! pole sana pole" mama naona kajisahau2 usijali
Mungu wangu! nimefanya nini sasa mimi mbona hata sielewi! ata kama simpendi halikua lengo langu kumufanya alie1 tena kwa uchungu kiasi hiki.
me mwenyewe inaniuma mpaka nahisi kutokwa na machozi au kafiwa na mama?
Atakua kafiwa na mama huyu! Mwanangu nisamehe sikujua" Eeeeh! Mungu wangu nimekumbuka kijana wangu aliwahi kuniambia kuhusu x girlfriend wake aliefiwa na wazazi wake wawili kwenye ajali!
Mama tafadhali naomba uinuke twende uku''
Kwa hio mama umefanya nini? au wewe ndio furaha yako kuaona wengine wakihuzunika?
Umepata nini mama kumfanya yatima huyu amwage machozi
Lakini kwanini mama?
NisamHakunaChaKuKusamehe Hapa
Ningekua sijawahi kukueleza habari yake ningeweza kukuelewa. ahsante sana mama yangu siku ya leo naona njema sana kwangu.
na nimeipenda sana kuliko siku zingene zote maana kamwe haitosahaulika maishani mwangu mpaka nizikwe.
Adi! Adrianna! Nisikilize basi"
Na na na naaaomba uniruhu niende nyumbani2 nadhani Lunch iii hii inanitosha hhh sana hhh sana2 wala siitaji kingine chochote tafadhali.
Adi! ukweli nakwambia hata mama uko aliko anasikita ye mwenyewe hajajua ni nini alichokifanya" mpenzi wangu naomba nielewe please
Ivi Cla Ka Claud
Talatibu basi Adrianna" tuliza nafusi kwanza, haya njoo apa sogea ivi eheee apa sawa! nyamanza basi'' mama kajisahau2 hata mwenyewe uko aliko anjuta Adrianna''
Ni ni nisikilize Claud; i i i ivi toka lini mimi ni ni nikaitwa Andrew? lakini pia ka ka kama mama yako hana tarifa kuhusu yalionikuta mimi ni ni ni kwa makosa yangu mieh?!!! si si sindio maana yake Claud? naombo niondoke!

Comments

Popular posts from this blog

PAUL&SARAH SEHEMU YA KWANZA NA JUMA CHECHEKA

SARAH&PAUL sehemu ya tano

hadithi ya Paul na Sarah sehemu ya6