hadithi ya Paul na Sarah sehemu ya6
PAUL ALIPOFIKA KATIKA ENEO ALILOELEKEZWA, HAKUAKAUTA WATU HAWA.- NA ALIVYOPIGA SIMU YA MKEWE ALIAMBIWA KUA WAPO KATIKA PARKING YA HOSPITAL HIO.
- LAKINI ALIVYOFIKA KATIKA PARKING HIO ALIMKUTA MKEWE AKIWA PEKE YAKE.
- NA ALIVYOULIZA KUHUSU MTU ALIETOA MSAADA ALIAMBIWA NA MKEWE KUA BAADA YA KUONA HALI YAKE IMEREJEA ILIBIDI MTU HUYO AENDEREE NA SHUGULI ZAKE.
Sarah; lakini yeye hakua na uhitaji na malipo na ndio maana hajaomba chochote na akaondoka zake.
Paul; lakini tungefahamiana, na ningempa hata shukrani angalau kwa wema wake!
Sarah;lakini kama unahisi ni vema kulipa wema kwa wema niliotendewa wala usijali, maana njia za kutenda wema zimejaa tele!-na ebu tuachane na hayo ulipata tarifa kua nimepatwa na tatizo hili kabla hujaanza safari, na ikawa ndio sababu ya kuailisha?
au nawwe umepatwa na matatizo
Paul kwa hasira: Aaah! me sina tatizo ila kama uko vizuri kwa sasa twende nyumbani.
Sarah; Aaah! mi niko poa2 kama unavoniona.
Paul; ok ingia kwenye gari langu,nimeshamtumia ujumbe Gerard, gari lako atakuja kulichua.
KIPINDI CHOTE WANAELEKEA NYUMBANI, PAUL ARISHINDWA KUJIZIWIA KUONYESHA HISIA ZAKE MBERE YA MKEWE
maana toka waanze safari mpaka wanafika nyumbani PAUL hakumsemesha chochote mkewe.
na walivyofika nyumbani, hali ilikua hivi:
Saraha; Haaa! Naota au nacheki movie!!!
Paul; unachoshangaa nini sasa?
Sarah; ivi wewe mbona sikuelewi au umenichukia kwa sababu ya ugonjwa wangu? maana toka tulivotoka UST hujanisemesha hata neno moja mpaka nimekuogopa. lakini s'ungenipeleka ndani nikafanyiwe vipimo ili tujue tatizo langu ni nini? mme wangu sasa ivo ndo nini?⇛kaa kimya Sarah! Paul alidakia kisha akahoji. ivi nikikupa latiba yako ya toka asubuhi mpaka tatizo linakukuta unaeza kuitorea maelezo Sarah? U n a e z a k u i t o r e a maerezo?
Si nakuuliza wewe?
Sarah; basi samahani mme wangu kwani mimi nimekukosea nini jamani?
Paul; nahitaji kujua mtu aliekusaidia
Sarah; lakini nami simutambui! alinisaidia na akaondoka zake.
Paul; ivi kwanini unataka kunifananisha na mtoto mdogo?
Sarah; kwanini unasema hivyo mme wangu?
Paul; ivi kwa kaline hii ni mtu wa aina gani akukute hujiwezi katika gari lako, akuendeshe mpaka hospital, kwenye gari lako kuna pesa, asikuibie? na istoshi emshajua kua wewe ni mke wamtu, hivyo alipaswa kumsubiri mmeo ili akuache katika mikono salama ikiwa ni njia ya hata yeye pia kujiweka salama na kuniondolea wasiwasi mimi kama mmeo jui yake.
Aliendelea na kusema lakini yote9 potelea mbali! ivi kwa mda wa kupeleka watoto shule na mda wa kurudi, mbona haviendani na mda nilopata tarifa zako? hapa katikati kuna nini?
Kabla Sarah hajajibu warigongewa kwenye kioo cha gari na mafundi wariokua wakiendelea na marekebisho ya pale nyumbani.
Lakini wakati yote hayo yanaendelea Sarah alikua na maswali rukuki ndani yake.
baada ya mda watoto walikuja kutoka shule.
Haaa! Mama s'unaona ile nimeekwambia mda ule tunenda shule na wewe ukaniharakisha? Sarah ikabidi amkimbilie mtoto kabla hajasema sana, na kumusogerea kwa taratibu akaanza kumuuliza; eti kuna nini tena mwanangu? kwa machozi uku kakiria sana: mama mimi lazima nimwambie baba2! Dick alidakia na akasema; mama wewe wakati unataka kutupeleka shule nilikwambia kule bafuni kwako maji yanatoka na mashine ya kuyachemsha wewe mama haujazima, ukaniharakisha na ukaviacha vyote.
sasa leo tunalala wapi mama? uku ka Dick kanalia sana! masikini!
Jane: Dick nymanza basi mdogo wangu s'unaona mafundi wapo na baba wanalekebisha?
Dick; lakini Jane baba ameairisha safari yake kwa sababu ya mama.
Kwani baba s'arikua amesafiri, sasa mbona karudi?
Jane alikosa cha kujibu!
Ikabidi ambembeleze mdogo wake; Lakini Dick kumbuka baba anampende sana mama hata na sisi pia anatupenda tena sana, alafu na sisi mama yetu tunampenda sana?
ka Dick;Ndio Kwa hio ukimwambia baba kua mama hajafunga maji na na umeme bafuni baba atamchukia sana mama na watagombana sana.
Na mimi dada yako unanipendaeh? si ndio?⇛Ndio Kalijibu
Hivyo basi na omba uniahidi kama dada yako mpendwa, kua hautomwambia baba kwa kunibusu kwenye shavu.
Dick aliegeuka kwa hasira akamuangalia mama yake kisha akageuka akambusu dada yake, na baada ya hapo alikimbilia aliko baba yake.
TUKUTANE TENA WEEK ILE INGINE bye bye!!!
BY JUMA CHECHEKA
Comments
Post a Comment