UKWELI UKO WAPI? sehemu ya kwanza
UKWELI HUMUINUA MTU KUTOKA CHINI MPAKA JUU . UKWELI NDIO NJIA PEKEE IKAYOKUFANYA UISHI UKIWA HURU MAISHA YAKO YOTE. UKWELI UTAKUFANYA UWE MUAMINIFU KATAKA JAMII, FAMILIA,KAZINI,DARASANI NA KWINGINEKO. HIVYO UKWELI HUU UTAYABADILI MAISHA YAKO KUA YENYE FURAHA SIKU ZOTE. ZAIDI FUATILIA KISA HIKI APA CHINI Alipofikia umri wa pale mtu aanzapo kujitambua, Kijana huyu aliendelea na masomo yake uku akiwa tayari alishaunganishwa na kampuni alipokua akiidhinisha kwa vitendo kile anachokisoma chuoni. Kampuni yao ilifanya mpango ili yeye na wanafunzi wenzake kadhaa wazoezwe kwa siku mbili kwa week na mda huu ulikua ni mda ambao upo nje ya siku za kwenda katika chuo alichokua akisoma. Siku moja, walimaliza masomo mapema kuliko ilivyokuwa kawaida, kulingana na latiba ya chuo icho. Aidha kulingana na sheria za kampuni iliowapa nafasi hizi, siku moja wanafuzi hawa walimaliza kazi waliokua wamepewa, kabla ya mda uliopangwa. Wanafunzi hao walipaswa kubaki na kuendelea na kazi...