Posts

Showing posts from August 18, 2018

PAUL&SARAH SEHEMU YA KWANZA NA JUMA CHECHEKA

Image
Hii Ni Simulizi Nzuli Sana Ya Mapenzi.                                                                                                                                                Katika Nchi ya Ufiripino; ilikua familia yenye watoto wawili, baba na mama. Siku moja baba na mama wa familia wakiwa wanatoka kanisani kuelekea nyumbani, wakiwa kwenye hatua kama kumi ivi kutoka katika lango lakanisa "Salah" Kama mama wa familia hio na "Paul" Kama baba wa familia hio. "Sarah" alimuona mtu kwa mbali ikiwa amejiegesha kwenye benchi lililokua kalibu kidogo na eneo la kuegesha magali,baada ya kumuona mtu yule "Sarah"alijikuta aki...