UKWELI UKO WAPI? sehemu ya mwisho

UKWELI HUMUINUA MTUU KUTOKA CHINI KWENDA JUU

BASI KIJANA HUYU ALIETAMBULIKA KWA JINA LA ANORD, BAADA YA KUKUTWA NA MANAGER WAO AKIWA AMEBAKI PEKE YAKE, 

Anord alilazimika kusema uongo. najua utakua ukijiuliza kwamba kwanini tunazungumzia ukweli, lakini uongo umepata nafasi?
Anord alimudanganya manager huyo kua wao hawakumalizia somo walilokua wamwpewa chuoni na kwamba walilazimika kuja kwenye kampuni kwa sababu mda wake ulikua umefika.
hivyo baada ya kua wamemaliza kazi wakaona wautumie mda huo kumalizia somo lao. 
Mmoja wa wanafunzi waliotoka na kurudi chuoni alikua amesahau external yake wenye computer ya kampuni ikabidi arudi. arishanga
sana baada ya kufika hapo na kutokuulizwa kitu chochote na manager wao. kwanza hakutegemea kama angeeza kumkuta kwa wakati huo.
Alichukua external yake na akaondoka. alipofika chuoni aliwakalisha wenzake na kuwaeleza kua manager wao karudi, lakini chaajabu hajamuuliza chochote kuhusu wao kutoka kabla ya mda. baadhi yao walijua huenda adhabu yao watakutana nayo siku inayofuata. lakini siku iliofuata hawakuulizwa chochote manager wao jambo lilowashangaza sana kwani ilikua sio kawaida kwa manager wao kupotezea kosa kubwa kiasi hicho.
mwnafunzi yule aliekua amesahau kifaa chake kwa kampuni ilibidi akae na Anord na kumuuliza kilichotokea.
Anord alimjibu kua na yeye hachowi chochote kilichopelekea manager wao kuotezea swala lile.

hii ina maana gani?

Wakati mwingine uongo hutumika kuulinda ukweli. kwni Anord angewasemea ukweli wenzake ingepelekea madhala makubwa sana kwao ikiwemo hata kufukuzwa kwenye kampuni, kwa mujbu wa form zilizowawezesha kuingia katika kampuni hio na hili Anord alilitambua mapema.
Na sababu ya kutokuaambia wenzake kilichotokea, ilikua ni nja ya kuwatoa katika hali ya kubweteka. kwani angewakubalia kua yeye ndie aliewasaidia, ingepelekea hali ya mazoea katika uovu wa namna hio.
Aidha unapofanya jambo jema si lazima kutafuta sifa kwa wema uliotenda.   

Comments

Popular posts from this blog

PAUL&SARAH SEHEMU YA KWANZA NA JUMA CHECHEKA

SARAH&PAUL sehemu ya tano

hadithi ya Paul na Sarah sehemu ya6