Paul&Sarah Sehemu ya pili
PAMOJA
BAADA YA SAFARI YA KUTOKA KANISANI NA PURUKUSHANI ZA BEACH WAKARUDI NYUMBANI NAMAISHA YAKAENDELEA KAMA ILIVYO SIKU ZOTE.
Jamaa" yule alivyorudi nyumbani kwake akawa anajiuliza maswali, ivi;
1.Hili linaezekana vipi mtu akiwa na mmewe akani"Approach"tena katika hali ya ku staajabisha?
2.Nimewahi kusoma nae au? lakini mbona simukumbuki?
3.Saraha!!! jina hili mbona ni geni katika maisha yangu
4.Labda kama niliwahi kulijiwa jina hili, nilisoma kwenye;
gazeti, vitabu, vipeperushi na kwingingiko.
5.Ilia kukutana nalo ana kwa ana tena katika mazingira ya ajabu
kiasi cha kutaka kujitoa roho mbele yangu nikishuhudia!!!
6.Hapa kazi ninayo!!! lakini nitaanzaje kuwasilina na mke wa
ambae nina uhakika %1oo kua sitamburiki katika familia yake?
maana ingelikua mwanamke huyu ananitambua vema
angenitamburisha kwa mmewe.
7.Kinachoniua zaidi ni mazingira yaliotumika kunipa bizness Card yake
Tukirudi uku nyumbani kwa "Paul", "Paul" alienderea kua karibu "Sarah" na mara kwa mara ilikua akitoka kazi kabla ya mda. Na jambo hili lilipelekea "Sarah" kuanza kujiuliza maswali ivi huyo atakua ariona nilivyompa card jamani!!! au kuna nini? mbona si kawaida yake kunifuatilia kiasi hiki?
"Paul" nae ivi ni kipi kirichomkuta mke wangu mbona kama hakuna chochote kinachoendelea? <<si huyu anaendelea na shuhuli zake kwa raha mustarehe!!! nini iki? "Paul" alijiuliza akielekea katika lango la jikoni aliko mkewe akifanya mahanjumati.
"Paul"↠ Hallow!!! Hallow!!! Nipo Nyumbani Marikia wangu mpendwa!."Sarah"↠ Karibu na Karibia Mfalme wa Mimi
"Sarah"_Pole sana kazi mme wangu!
"Paul" _Ahsante mke wangu mpendwa ila kazi ni wajbu s'unajua!
"Sarah"_Hata mimi pia kukupa pole ni wajbu
Uku wakiwa wamekumbatina, "Sarah" macho yake yote mawili akiwa ameaerekeza usoni kwa"Paul" ili kutaka kuzisoma hisia zake, "Sarah"_ivi huyu mtu mbona anafuraha tele!? "paul"_ivi huyu mtu mbona hana hata dalili ya homa vipi!? Kipi kilichomkuta sasa? Hahahahahaha!!!!!!!!!!!! sio wao ila hata mimi inanibidi nicheke aisee! Dah!. Basi bwana.
Wakiwa wametazamana kwa mda mara "Dick" huyu hapa! "Dick"_mama mbona unaunguza nyama Aaah! "Dick" uko apa Wariita kwa pamoja baba ikabidi aende kumuhagi mwanae. "Paul"_Umesoma nini leo Nak.......
Basi ukafika mda wa mezani wakiwa wanakula "Paul" alikua makini sana kutaka kujua kwamba jee "Sarah" anakula kwa hamu ya kutosha kama siku zote?
"Sarah" mbona unaniangaria sana "Paul"? au nimejichafua sana usoni wakati na pika?
"Paul"_hapana mke wangu Sarah"_kumbe nini? Paul" Chakula
cha leo kitam sana. najaribu kutafakari umekipika ukiwa katika mazingira gani.
"Sarah"_acha mambo yako bhana! mi sipendi uku "Dick" akiwacheka
Tuachane na hayo meme wangu naomba nikuulize swali la kizushi!
"Paul":_ Duh! Kimenuka huyu lazima aniulize kwanini sometym natokaga kazini kabla ya mda marum! nitamjibu nini sasa?
"Sarah"_Mbona hunijibu sasa au ndo hutaki nikuulize?
"Paul" _ Mapana uliza tu marikia wangu! nikunyime fursa wewe nimpe nani sasa?
"Sarah"_ Ok ila usikasilike basi. Paul"_sawa mke wangu.
"Sarah"_Baby mbona leo umewahi kutoka kazini?
"Paul" _Usinitanie hilo ndo swali au? Hahahahaaaa! aricheka sana
"Paul"_Sarah" nipe dakika20 jibu lako litajipa lenyewe.
Kumbe wakati Sarah" anajianda kuuliza swali Paul" alikumbuka kua siku hio ni birdhday ya mwanae basi akawa akachukua cm yake fasta akawaita wapiga vinanda kabla tu ya kutoka mezani wakawa wameshatinga. mara mlango ukagongwa! baba_Dick kafungue mlango.
"Sarah"_Jamani kwanini nisifungue nini tumusumbue mwanangu?
"Paul"_Mimi nina maana yangu.na kumtaka tena Dick ndo afungue
Ile anafungua Vinanda HBD To u vikaanza!!! vikapigwaaaa mpaka
"Dick"_Ooooh!!! I love u somuch my Dady!
"Paul"_Nadhani swali lako limeshapata majibu sasa mke wangu.
"Sara"_Hapa sina swali tena!
maisha yakaendelea uku kila mmoja akiwa namaswali juu ya mwenzake.
Basi baada ya mwezi mmoja uku Sarah" akiwa na maswali kama800 kichwani, kwmaba kwanini "Jackson"hajanipigia mpaka sasa? au alishanisahau?
"Jamaa" yule nae; ivi nitakapopiga sim hii ikapokolewa na mwanaume mwenzangu mimi nitaongea nini?
Mimi "Pablo" sijawahi kua na kesi ya namna hii maishani mwangu, sasa itakuaje nikipokelewa na mmewe alieonekana kua na upendo mkubwa kwa mkewe
Ila nisipopiga simu hii nitakua sijamtendea haki dada yule, hasa ukitasmini ni nguvu kiasi gani aliotumia kunipa mawasiliano yake!
Dah! sijui nifanye nini mimi! lakini mimi ni mwanaume acha nipigetu, apa cha kuzingatia ni mda ya kazi naeza pata bahati mmewe asiwepo nyumbani
"Sarah" akiwa anamwagiria maua nje mara anakasikia ka "Jane" ndani ha! kwani wewe nani mbona jina lako halipo kwenye simu ya mama? au wewe ni police? "Sarah" ikabidi awahi, lakini si kawaida yao kumunyang'anya simu mtoto ata kama kapokea cm yako maana ilikua familia yenye uazi na upendo zaidi.
Lakini cha ajabu siku hio kwa hasira "Saraha" alivyoingiatu akamunyang'anya cm "Jane" <<wewe leta cm yangu apa>> "Jane" lazima nimwambie baba kua umeninyang'anya cm nikiwa sijamaliza kuongea! Ikabidi amuonyeshe inshala ya kukaa kimya kwa kueka kidole kwenye mdomo
Hallow!!! "Sarah" alipokea.
"Jamaa" : Hallow! jina langu naitwa Pablo
"Sarah": Ndio uku Kimoyomoyo haaa! "Pablo"
"Pablo": Number hii niliipata katika mazingila ya kanisani...........
Akaenderea nailivyokua, na badae akauliza kama baada ya kufahamiana kuna chochote ambacho kinaeza kuenderea.
Enderea kua nasi mpaka mwisho wa story hii ili kujua kilichoenderea kati ya watu hawa.
Ila kwa leo tunaishia hapa, uku tukiwashukuru wale wote wanaoenderea kua nasi na kusoma makala zetu.
