SARAH&PAUL sehemu ya tano
PAUL AKIKARIBIA LANGO LA GETI LA NYUMBANI KWAKE KWA MBALI ALIHISI KAMA MAJI YANATOKA KATIKA MILANGO YOTE YA NYUMBA YAKE. ALISHUKA KWA HALAKA SANA, LAKINI ALIVYOJARIBU KUSO GEA GETINI KWAKE ALIGUNDUA KUA ENEO LAKE LOTE LIMETANDA SHOTI YA UMEME. Kilichofuata, ilikua kazi ya kutafuta usaidizi kwa wahusika, Na usaidizi ulikuja. Lakini kipindi yote haya yanaendelea Paul alikua mtu mwenye maswali mengi kuhusu mkewe, kwamba kwanini hayupo nyumbani mda huo?, kwanini simu yangu hapokei?, na kama kaogopa ajali hii sababu ni kwanini hajanipa taarifa au ata kuomba usaidizi? Kumbe Sarah alivyoondoka kutoka nyumbani, kiwewe cha kukutana Jack wake kilimfanya akaacha baadhi ya milango ya nyumba yake ikiwa wazi na kwenye internal bathroom (bafu yandani) yake maji hakufunga mpaka anondoka nyumbani. Pablo uko aliko na Sarah walicheza sana siku hio, lakini baada ya mda Sarah alihisi kama hali ya msisimko ndani yake. na breki ya kwanzi ilikua kwenye simu yake. alivyiotupia macho kweny...