Posts

Showing posts from September 3, 2018

UKWELI UKO WAPI? sehemu ya mwisho

Image
UKWELI HUMUINUA MTUU KUTOKA CHINI KWENDA JUU BASI KIJANA HUYU ALIETAMBULIKA KWA JINA LA ANORD, BAADA YA KUKUTWA NA MANAGER WAO AKIWA AMEBAKI PEKE YAKE,  Anord alilazimika kusema uongo. najua utakua ukijiuliza kwamba kwanini tunazungumzia ukweli, lakini uongo umepata nafasi? Anord alimudanganya manager huyo kua wao hawakumalizia somo walilokua wamwpewa chuoni na kwamba walilazimika kuja kwenye kampuni kwa sababu mda wake ulikua umefika. hivyo baada ya kua wamemaliza kazi wakaona wautumie mda huo kumalizia somo lao.  Mmoja wa wanafunzi waliotoka na kurudi chuoni alikua amesahau external yake wenye computer ya kampuni ikabidi arudi. arishanga sana baada ya kufika hapo na kutokuulizwa kitu chochote na manager wao. kwanza hakutegemea kama angeeza kumkuta kwa wakati huo. Alichukua external yake na akaondoka. alipofika chuoni aliwakalisha wenzake na kuwaeleza kua manager wao karudi, lakini chaajabu hajamuuliza chochote kuhusu wao kutoka kabla ya mda. baadhi yao walijua h...