Paul&Sarah Sehemu ya tatu

NA HAPA NDIPO TULIPOISHIA

BAADA YA PABLO KUJITAMBULISHA ,
SARAH YEYE PAMOJA NA KUSHANGAZWA NA
JINA ALOPEWA ILIOMBA KUNANA NA PABLO 
HALAKA IWEZEKANAVYO. 








 "Sarah"; ok nimekuelewa "Jack" ila kama hautojali naomba unipe promiss ya kuonana na wewe please!
"Pablo" kimoyomoyo mbona tena ananiita Jack?! Aaahh oke nimekuelewa.
nitakujulisha kwa sms lini na wapi tukutane.
"Sarah"; Ok i have u good day! 
"Pablo"; Huyu atakua kavurugwa si bure. Lakiniiii! g'uh! mi sielewi acha niende nikamsikilize.

basi walivyokutana yalikua maeneo ya pembezoni kidogo na fukwe moja maalufu uko kwao.
na alietangulia kufika alikua Pablo", Sarah"  akiwa kama kwenye umbali wa miita kumi kufika alipo Pablo" akajisemea moyoni; huuu! siamini kama Mungu kanikutanisha na "Jackson" kwa mara nyingine, tena mbali na nyumbani kiasi hiki? au alilazimika kutafuta nikopelekwa baada ya wazazi wangu kunilazimisha kuowana "Paul" wakiamini kua "jackson" ni mpenze wangu?
Na alivyokua akizidi kusogea alipo "Pablo" alizidi kumchunguza kwa kina uku akizidi kusisitiza ndani yake; Mungu wangu Mbona ni yeye!, Huyu ni yeye2 S'unaona na yale masikio! Dah! Jackson!!!
Pmaka akamufikia.
Srah"; Hallow! 
Pblo"; Hallow!
Pablo alisimama na kumkaribisha kwe kiti aina ya machela kama uvijuavyo viti vya ufukweni, na kumuomba akae.
Sarah alikaa na Pblo alitoka halaka kwenye banda la ufukwe huo, na akaja na mtoa hiduma ili kujua aina ya juice anayotaka kutengenezawa, na baada ya kuagiza wakakaa sasa.
Pablo alichomao B.C.(Business Card) alivyotaka kuongea Sarah alimtaka kutokuongea chochote, kisha yeye ndo akaanza kutililika:
 Mimi naitwa Saraha niliekuanae siku ile kanisani ni mme wangu anaitwa Paul, ambae ni baba wa watoto wetu Jane&Dick.
na kilichonipelekea mimi kujikuta katika hali ile ni baada ya kukuona na ile fimbo uliokua nayo na ulivyokua ukiizungusha mkononi ulipelekea moja kwa moja kukumbuka kipindi kile ulivyokua ukiizungusha baada ya kuachapa wale wahuni walokua wakinisubiria njiani tukiwa tunatoka shure.
Lakini pia nilivyokukalibia nikagundua kua ni wewe, na hatimae nikakukuta unasoma kile kile kitabu cha katuni tulichokua tnasoma.
Hivyo niliona sina njia nyingine ya kuonana na wewe niamua kujidondosha ili nilahisishe utoaji B.C. na mme wangu asijue.
Mara muuza juice aliwasili na kuapa kila mmoja aliokua kaagiza 
Laknini kwa kipindi chote Sarah anajieleza Pablo alizidi kua bumbu wanzi; ivi huyu anazungumuza nini jamani? mbona simuelewi? au kachanganyikiwa? Sasa namsaidiaje? nikikubali kua mimi ni Jackson, mimi sijui chochote kuhusu Jackson wala sijui waliishi wapi walisomea wapi sielewi chochote. Mimi naona bora nimwambie ukweri nisidanganye dactari uku na namuongezea majeraha mgonjwa. yes1 acha2 nimwambie ukweri.
Pablo; Ok! Sarah nimekusikiliza kwa umakini wa hali ya juu, lakini pia nimekuelewa vilivyo.
Ila Sarah" labda nikwambie2 Kwamba, hapana Jackson! alidakia Sarah na kumueleza; kumbuka Jackson mimi na wewe ni aki na nani, tulitoka wapi mimi na wewe tulifanya mangapi? Lakini pia mbana kama unataka kusahau kiapo chetu? Na alienda mbali na kusema; Ivi unajua kua ndoa yangu au mimi kuolewa hata siku moja haiwezi kigezo cha kuvunja kiapo chetu mimi na wewe? au unataka kuenderea kua mbali na mimi kwa sababu ya chuki wariokuonyesha wazazi wangu? 
Lakini mimi sijali kuhusu chochote kwanza najihisi kama mtu aliekufa na akafufuka. kwani kuishi miaka yote bila wewe nilikua nusu mtu nusu mfu! na akamuinua Pblo na kumkumbatia kwa hamu kubwa uku akishusha pumzi kubwa. na kusema: Ahsant sana mwenyezi Mungu kunikutanisha na mtu ambae sikutaka hata siku moja awe mbali na mimi. Lakini kwa sasa na apa kuo kua sitoluhusu hata siku moja hili kutokea alikaa.
unadhani Pablo ataamua nini?
na unadhani ni kiapo gani walichoapa hawa
maoni yako ni muhimu sana kwetu yatoe kupitia 
Facibook: Juma Checheka Au Join Kwenye Group:MAARIFATZ GROUP   

Popular posts from this blog

PAUL&SARAH SEHEMU YA KWANZA NA JUMA CHECHEKA

SARAH&PAUL sehemu ya tano

hadithi ya Paul na Sarah sehemu ya6