PAUL&SARAH sehemu ya nne(4)
Pablo arijikuta akikosa cha kuongea, baada ya Sarah kuenderea kutililika tena kwa msisitizo kwa mambo mengi warioyafanya wakiwa pamoja. Waliongea mambo mengi mpaka pale giza lilipoanza kutanda. Baada ya hapo Sarah alisimama na kumwambia Pablo kua amemiss kucheza nae kwenye maji na ndio maana mapema alitaka mazungumzo yao yawe ya ufukweni. Pablo alikua hana budi kukubali. waliingia kwenye maji na wakaanza kucheza. Na baadae kila mmoja wao alilejea kwake. huku Sarah akiwa na furaha kubwa alifika nyumbani kwake na kuakuta wanae wakiwa wamebaha sana kwa kutokumuona mama yao kwa mda mlefu kia hicho, kwani ilikua sio kawaida yao kulejea nyumbani na kutokumkuta mama tena bila ya tarifa. wakiwa wanamuhoji mama yao baba aliingia, "Sarah" my wife" aliita Paul, na Sarah nae shiii!!! aliwanyamanzisha wanae kwa inshala ya kidole kwenye mdomo. kisha "karibu mpenzi" alimkaribisha mmewe. lakini Paul alivomuangaria kwa makini Sarah aligundua Sarah hayupo katika hari...