PAUL&SARAH sehemu ya nne(4)

  • Pablo arijikuta akikosa cha kuongea, baada ya Sarah kuenderea kutililika tena kwa msisitizo kwa mambo mengi warioyafanya wakiwa pamoja.

  • Waliongea mambo mengi mpaka pale giza lilipoanza kutanda. Baada ya hapo Sarah alisimama na kumwambia Pablo kua amemiss kucheza nae kwenye maji na ndio maana mapema alitaka mazungumzo yao yawe ya ufukweni.
  • Pablo alikua hana budi kukubali. waliingia kwenye maji na wakaanza kucheza.  Na baadae kila mmoja wao alilejea kwake. huku Sarah akiwa na furaha kubwa alifika nyumbani kwake na kuakuta wanae wakiwa wamebaha sana kwa kutokumuona mama yao kwa mda mlefu kia hicho, kwani ilikua sio kawaida yao kulejea nyumbani na kutokumkuta mama tena bila ya tarifa. wakiwa wanamuhoji mama yao baba aliingia, "Sarah" my wife" aliita Paul, na Sarah nae shiii!!! aliwanyamanzisha wanae kwa inshala ya kidole kwenye mdomo. kisha "karibu mpenzi" alimkaribisha mmewe. lakini Paul alivomuangaria kwa makini Sarah aligundua Sarah hayupo katika hari yake yake ya kawaida: Sarah kwani kuna tatizo lolote hapa nyumbani? ahhh! hapana mme wangu kwani kuna nini? Sarah alijibu na kuhoji. Ila Paul aligundua kua watoto wanayafuatilia mazungumzo yao kwa umakini sana, na alimwambia ahhh! hakuna chochte Saraha mimi niko chumbani. Saraha; Duh! kimenuka! itaku kasikia yote walionihoji wanagu au alikuja nyumbani hajanikuta na akatoka tena? Paul; au ile hali imemurudia tena nini! mbona yupo katika hali ya wasiwasi namna hio, tena watoto wakimshangaa? hapa kuna tatizo. na itabidi nikae na wanangu niwaulizi taratibu, na kama kuna chochote kilichomkuta mama yao najua wataniambia2 
  • Ilibidi amufuate mmewe chumbani.
Sarah; Hallow Paul!
Paul ; Ha! Ahhh! Karibu chumbani Sarah! 
Sarah; Aaah! jamani kuna tatizo gani mme wangu?
unajua nimekaa hapo mlangoni kwa mda nikikuangalia
Na nimegundua una mawazo sana kwani kuna tatizo gani? 
Au leo wamekusumbua kazini?
Paul ; Dah! mi sijui hata nimjibu nini sasa! sijui ata nianzie wapi.
Yani mtu nilitalaji nimhoji mimi kaanza kunihoji yeye! sasa nimwambie nini? Alijiuliza maswali uku ikiwa ameinamisha kichwa chake chini.
Sarah; Paul ivi uko sawa kweri?
Paul  ; Ndio ndio mke wangu, njoo mke wangu mpendwa njoo ukae apa karibu ni mimi.
  • Sarah unajua familia yangu naipenda sana kuriko kitu chochote. na haitojarisha kazini nimevurugwa na mangapi, likini ni lazima nihakikishe familia yangu iko salama kabibisa. Lakini pia ningependa kusema kwa mara nyingine tena kwamba nikiwa bado nipo hai sitopenda kuona lolote likiinkumba familia yangu, na ninaposema familia namaanisha mke wangu mpendwa Sarah pamoja wanangu Dick na Jane. na ninapenda nikuombe Sarah, lolote likitokea hata kama mimi sipo nijuze kwa njia yeyote namimi nitalishugulikia mara moja, kwani wajbu wangu kilinda na kuisimamia familia yangu.
  •  
  • alimvuta Sarah na kumbeba na kutomasa tomasa maeneo ya mashavuni, lengo kujua kama mkewe labda angeeza kua hali ya tofauti katika miwili wake ila aligundua kua mkewe hana tatizo. aliuliza: "Sarah" unajihisi hali yeyote ya tofauti? hapana mme wangu mi mbona niko sawa2 alijibu Sarah kisha na yeye akauliza: Jee na wewe unajihisi hali yeyote ya tofauti uku anamtomasa mashavuni. mi mbona niko poa mke wangu. waliendea na maswali ya namna hio kisha wakaanza kucheza uko chumbani na purukushani zilizidi mpaka watoto nao wakaja, furaha iliendelea mme akasahau alichokikuta watoto nao wakasahu siku ikapita namna hio.
  •  
  • Hallow! Sarah! Hallow! Jack!, Sarah alipiga sim; habari za toka jana tulivyoachana? ni njema2 Sarah mimi niko salama kabisa, ila sijui kwa upande wako? niko salama nashukuru alijibu Sarah. ok familia na watoto jee wako salama? hawajambo ndo nimetoka kuapereka shule. apo sawa, na mimi ndio najianda nielekee kwenye shuguli zangu. ok Jack" nakutakia kila Laheri. waliagana.
  •  
  • Kma baada ya week kadhaa Sarah aliombo nafasi ya kukutana na Pablo aliemtabua kama Jack". Pablo alilitafutia mda ombi hilo kisha wakakutana. wakiwa katika uanja wa mchezo wa gofu Sarah alimtaka Pablo kujungusha fimbo yake kama alivyokua akifanya siku wanakutana kanisani. kwani mchezo huo wa kuzungusha fimbo ile kitaalam, ilikua ni furaha kubwa sana kwa Sarah fimbo hio ilikua ikizungushwa baada ya kuachapia maadua wao waliokua wakiwasubua enzi za utoto wao. na baada ya hapo Sarah aliomba fimbo inyanyuliwe juu na Pablo na yeye anig'inie kama alivyokua akifanyiwa hapo zamani. na Pablo alikua hana budi kufanya. lakini Pablo kitendo hiki kilipeleka mwanaume huyu kutikuta hatiani. kwani ukaribu ule wa kumuning'iniza Sarah kwa fimbo alioishikilia mwenyewe, uku mdomo kwa mdomo pua kwa pua na macho yake moja kwa moja katika nyuso za Sarah zilizo sheheni tabasam tele! Alienda mbari kimawazo, na kuanza kujiuliza ivi hii ni ahadi gani waliopeana watu hawa? au ni kiapo gani warichoapa kisichoweza kuvunjwa ndoa? mbona mwanamke huyu anaanza kunivutia sasa?. macho yake, umbo sula na tabasam lake vinaniacha hoi mieh! na kwa nini anaiacha familia yake na kuja nilipo mimi?
  •  
  • Tukirudi nyumbani kwa Paul, Paul siku hio alikua na safari na ndio maana Sarah aliomba kukutana na Pablo mapema. ila kwa bahati mbaya akawa ameisahau passport yake mezani ikiwa katika kinjia cha kupandia ndege kama ujuavyo ukaguzi wa passport ni lazima. Paul ajisachi na kujikuta hana passport hivyo ilimbidi ailishe safari kwa siku hio kwani hata kama angeomba kuletwa passport ile mda wa ndege kuondo usingeluhusu jambo hili kunyika. alichukua mabegi yake na kuyapakiza kwenye tax. akiwa njiani alipiga sim ya mkewe kumtalifu lakini kwa bahati mbaya haikupokelewa, lakini avyopiga sim ya mezani haikuita kabisa kitendo kilichomperekea kua kataka hali y awasiwasi mkubwa alijaribu tena sim ya mkewe haikupokelewa. kumbe Sarah kule aliko sim alikua kaacha kwenye kibegi alichobebea nguo za mchezoni uku akiamini kua mmewe mpka aanze kumpigia sim atakua ameshaianza safari na atakua akimuelezea kuhusu safari2

  • Paul: "haya ya kweri au naota?"

Tukutane week ijayo panapomajariwa

Popular posts from this blog

PAUL&SARAH SEHEMU YA KWANZA NA JUMA CHECHEKA

SARAH&PAUL sehemu ya tano

hadithi ya Paul na Sarah sehemu ya6